...of coz he is nat afraid thats why yuko juu kwenye billbord!!!!.....Eminem ameshika nafasi ya juu kwenye US billboard album chart na Recovery album yake huku Rick Ross akiwa juu yake!!.Slim Shady has now held the position kwa wiki tano mfululizo his massive sixth studio LP..wiki hii Rick Ross’s Teflon Don album imeuza 11,000 copies less than Eminem’ to land at number 2.
Recovery ni number one kwenye UK album chart na piaaaaa ile ngoma yake na dada yetu Rihanna Love The Way You Lie iko juuu kwenye singles countdowns katika kila upande wa Atlantic.
The new album kutoka kwa Sheryl Crow 100 Miles To Memphis imeanda moja kwa moja kuwa number three on the album chart.