Thursday, July 29, 2010

GOOD A$$ JOB!!!!


Since Kanye West‘s MTV Awards gaffe last September when he interrupted Taylor Swift’s acceptance speech, kanye baada ya hapo akala kona..yani akatoweka..baada ya christmas mara akajitokeza katika his G.O.O.D Music artist Kid Cudi‘s show at the Nokia Theater in Los Angeles, ambapo alisema kuwa atarudi kwenye studio at the top of 2010.
..... Recently, though, it’s started looking like he’ll release his next album sooner than later.
Billboard imeripoti kuwa west sasa hivi kwenye kichwa chake cha almasi kina fanya kazi kwenye album yake mpya ambayo anatarajia kuachia karibuni na sasa anaweka zilee final touches ambapo kuna guest rappers like Q-Tip, RZA and Pete Rock.” ila websites nyingi zimesema kuwa album hiyo itaitwa Good ass job!!...
Msimamizi wa kanye amesema kuwa bado album hiyo haijajulikana itatolewa lini,jina lake wala status..ila..kama albuma hii mpya ya kanye ikitoka...utampaa support mzaziii.....????...
TUAMBIE WE UNAONAJE!!!

No comments:

Post a Comment