Sunday, August 1, 2010

Alicia Keys' Wedding Photo



...finally,tumeona picha ya harusi yao jamani!!!...The happy couple, amabao wanatarajia mtoto wao in November,walifunga ndoa kwenye private home on the Mediterranean Sea on Saturday (July 31). The couple’s friend, famed spiritualist Deepak Chopra, officiated the ceremony!
..swagger zao za harusi yani nguo zao zilikuwa kama hivi...Alicia, 29, wore a Grecian-inspired Vera Wang dress while Swizz, 31, suited up in a Tom Ford tuxedo.
Swizz (real name: Kasseem Dean) ana watoto wa kiume wawili , Kasseem Jr., 3, and son Prince Nasir, 9, from previous ..
watoto hao watakuwa ni wa mama mwingine amabao alikuwa kabla ya alicia.....hahahahahahhaha..kidini inarusiwa kuwa na wake wa nne iwapo wewe ni muislamu...n i swizz beatz atakuwa anafuata taratibu hizo..haya mwaya kila la kheri...isije ikawa yale mambo ya akishajifungua tu dada yetu umtupe kule kama nas na kelis...the dream na christina milian!...
jamani ndoaaaaaa.....

No comments:

Post a Comment